ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY
Mapambano yetu ni kwa maslahi na ustawi wa watu wa nchi yetu.
Ahadi yetu kwa Watanzania kuleta mabadiliko ni kujenga Taifa La Wote, Maslahi ya Wote. Kwa upande wa Zanzibar, Ahadi yetu kwa Wazanzibari ni kujenga Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja na yenye Mamlaka Kamili.
Are you aware of the phrase, we must run as others walk? Well if not, let me do the needful and quickly walk you through the 1960s. Our dear, at leas...