ACT Wazalendo ACT Wazalendo
Jiunge na ACT Kubadili Tanzania
Donate
  • Home
  • About us
  • News
  • Our Policies
    Ilani
    Manifesto
  • Cabinet
  • Wings
  • Contact us

ACT Wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT Wazalendo) ni chama cha Siasa kilichopata usajili wake wa kudumu tarehe 05 Mei, 2014. Chama hiki kimeundwa kupigania uwajibikaji, uadilifu, haki na uwazi katika uendeshaji wa Serikali kikiamini kuwa hiyo ndio njia ya kweli ya kuleta mabadiliko chanya kwa wananchi. ACT Wazalendo kinaamini katika Demokrasia na Uhuru wa mawazo na matendo. Uzalendo kwa nchi ni miongoni mwa nguzo kuu zinazoongoza chama hiki. ACT Wazalendo ni jukwaa huru kwa kila mtanzania anayeonewa na kukandamizwa. Karibuni tupiganie nchi yetu na maslahi yetu kama watu huru.
Learn
  • Ilani
  • Manifesto
Resources
  • Blog
Company
  • About
  • Contact us

Copyright © . ACT Wazalendo